PRIME Ishu ya Manji kurejea Yanga ipo hivi Manji alikuwa Uwanja wa Mkapa Jumamosi iliyopita akiishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba na kukaribia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kufikisha...
PRIME Simba yafuata mrithi wa Saido Asec Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa mwisho.
PRIME Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba...
Kanuni yaiweka pabaya USM Alger Wakati Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likisubiriwa kutoa uamuzi wa mechi iliyoshindwa kuchezwa ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya USM Alger na RS Berkane, kanuni za...
Suluhu na Yanga yaipa JKT mamilioni MAAFANDE wa JKT Tanzania wamelamba Sh30 milioni baada ya kutoka suluhu (0-0) katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, jijini Dar es...
Simba yatinga fainali Kombe la Muungano SIMBA imetinga fainali ya Kombe la Muungano baada ya leo kuichapa KVZ mabao 2-0 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Pisi kali za ulingoni DUNIA imejaa warembo kibao wanaotwanga makonde kama Natasha Jonas, Amanda Serrano au yule Claresaa Shield na ukiwakuta nje ya ulingo katika mitoko yao mingine, katu huwezi kukubali kama hao ni...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
JIWE LA SIKU: Klopp, Mourinho wote sio chaguo la kwanza, wametoboa Je, kuna shida kuja kunolewa na kocha chaguo la tatu kwenye mipango yenu? Ni hivi, hata Klopp mwenyewe hakuwa chaguo la kwanza wakati anapewa kazi Liverpool. Lilikuwa chaguo la pili.