'Come Back' ya Jay Melody si ya kitoto! MIONGONI mwa wasanii wa Bongo Fleva wanaofanya vizuri kwa sasa ni pamoja na Jay Melody ambaye nyimbo zake zimekuwa maarufu sana hasa upande wa kinadada huku zikijizolea mamilioni ya wasikilizaji...
Ambundo ajichomoa Fountain Gate KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Dickson Ambundo amejiengua katika kikosi hicho kwa madai ya kutolipwa malimbikizo ya fedha zikiwamo za usajili zipatazo Sh50 milioni.