Cheki wanasoka Kenya wenye mkwanja mrefu HAKUNA ubishi kwa sasa soka ndiyo mchezo unaopendwa zaidi duniani. Ndiyo mchezo unaovuta hisia za wengi na ni moja ya michezo inayotengeneza pesa nyingi sana.
PICHA: Viongozi mbalimbali wa Serekali, TFF, TPLB, Yanga na Simba walivyowasili kwenye mkutano sakata la Dabi