PRIME Mambo matatu kuibeba Simba Morocco KOCHA wa Simba, Msauzi Fadlu Davids anaamini kuna mambo matatu muhimu ambayo yanaweza kuibeba Simba kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco...
Dube aendeleza moto, Yanga ikijikita kileleni YANGA haijapoa, imeendelea kugawa vipigo ikiichapa Namungo ya Lindi mabao 3-0 huku majukwaani wakiendelea kupaza sauti kwamba 'Hatuchezi'.
Kumbe Rodrygo alikataa kucheza El Clasico STAA wa Real Madrid, Rodrgyo imeripotiwa kugomea kucheza mechi ya El Clasico baada ya kutibuana na wachezaji wenzake kikosini.