JIWE LA SIKU: Unamkubali? Ona alichofanya uwanjani msimu huu

LONDON, ENGLAND. KWENYE msimamo wa Ligi Kuu England, unasoma Arsenal ipo kileleni na pointi 80 baada ya mechi 35.

Nyuma yao wapo mabingwa watetezi, Manchester City wenye pointi 79 kwenye mechi 34. Hapo kuna vita ya kusaka ubingwa, inayowahusu marafiki wawili, Mikel Arteta na Pep Guardiola, ambao walikuwa pamoja Etihad kabla ya kila mmoja kuchukua njia zake na kuanza kuonyeshana ubabe.

Vita ya wawili hao ndio gumzo la Ligi Kuu England msimu huu, ambapo Arteta akipambana kuipa Arsenal taji la kwanza la ligi hiyo yangu msimu wa 2003-04, wakati Guardiola anataka kuandika rekodi ya kubeba ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo. Nani atashinda? Utamu ni kwamba Arteta amebakiza mechi tatu na Guardiola mechi nne.

Lakini, ushajiuliza wakati hilo likiendelea huko, nini wamefanya mastaa waliopambana kwenye mikikimikiki hiyo ya Ligi Kuu England msimu huu? Kwa mujibu wa takwimu za FBRef, hii hapa orodha ya mastaa walioongoza kwenye vita mbalimbali za ndani ya uwanja kwenye ligi hiyo msimu huu.



Mabao
Erling Haaland (Man City) – 21
Cole Palmer (Chelsea) – 20
Ollie Watkins (Aston Villa) – 19
Alexander Isak (Newcastle)  – 19
Dominic Solanke (Bournemouth) – 18
Mo Salah (Liverpool) – 17
Phil Foden (Man City) – 16
Jarrod Bowen (West Ham) – 16
Heung-min Son (Tottenham) – 16
Bukayo Saka (Arsenal) – 15
 

Asisti
Ollie Watkins (Aston Villa) – 12
Kieran Trippier (Newcastle) – 10
Pascal Gross (Brighton) – 10
Mo Salah (Liverpool) – 9
Pedro Neto (Wolves) – 9
Cole Palmer (Chelsea) – 9
Heung-min Son (Tottenham) – 9
Leon Bailey (Aston Villa) – 9
Bukayo Saka (Arsenal) – 9
Anthony Gordon (Newcastle) – 9

 
Mashuti (golini)
Darwin Nunez (Liverpool) – 104 (44)
Ollie Watkins (Aston Villa) – 103 (47)
Erling Haaland (Man City) – 99 (44)
Dominic Solanke (Bournemouth) – 99 (33)
Julian Alvarez (Man City) – 95 (36)
Mo Salah (Liverpool) – 93 (39)
Phil Foden (Man City) – 93 (40)
Bukayo Saka (Arsenal) – 91 (26)
Luis Diaz (Liverpool) – 88 (30)
Bruno Fernandes (Man United) – 87 (33)

 
Wamepoteza nafasi nyingi za kufunga
Erling Haaland (Man City) – 30
Darwin Nunez (Liverpool) – 26
Nicolas Jackson (Chelsea) – 21
Ollie Watkins (Aston Villa) – 20
Alexander Isak (Newcastle) – 15
Dominic Calvert-Lewin (Everton) – 15
Mohamed Salah (Liverpool) – 14
Rasmus Hojlund (Man United) – 13
Dominic Solanke (Bournemouth) – 12
Luis Diaz (Liverpool) – 12
Yoane Wissa (Brentford) – 12


Pasi muhimu
Bruno Fernandes (Man United) – 108
Martin Odegaard (Arsenal) – 93
Pascal Gross (Brighton) – 92
Bukayo Saka (Arsenal) – 83
Andreas Pereira (Fulham) – 82
Julian Alvarez (Man City) – 67
Dwight McNeil (Everton) – 65
Phil Foden (Manchester City) – 64
Morgan Gibbs-White (Nottingham Forest) – 64
Kieran Trippier (Newcastle) – 63


Pasi za kwenda mbele
Rodri (Man City) – 332
Martin Odegaard (Arsenal) – 306
Bruno Fernandes (Man United) – 281
Pascal Gross (Brighton) – 275
Declan Rice (Arsenal) – 259
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 250
Oleksandr Zinchenko (Arsenal) – 220
Enzo Fernandez (Chelsea) – 210
Alexis Mac Allister (Liverpool) – 196
James Maddison (Tottenham) – 191

 
Pasi ndani ya boksi la wapinzani
Martin Odegaard (Arsenal) – 112
Bruno Fernandes (Man United) – 84
Willian (Fulham) – 69
Dejan Kulusevski (Tottenham) – 69
Bukayo Saka (Arsenal) – 67
Pascal Gross (Brighton) – 67
Mo Salah (Liverpool) – 62
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 60
Cole Palmer (Chelsea) – 59
James Maddison (Tottenham) – 56
Rodri (Man City) – 55


Kupiga takolini (amepatia)
Joao Palhinha (Fulham) – 138 (71)
Vinicius Souza (Sheffield United) – 121 (75)
Joao Gomes (Wolves) – 110 (67)
Tyrick Mitchell (Crystal Palace) – 96 (53)
Emerson (West Ham) – 96 (61)
Alexis Mac Allister (Liverpool) – 90 (50)
Antonee Robinson (Fulham) – 84 (54)
Pedro Porro (Tottenham) – 83 (57)
Mario Lemina (Wolves) – 81 (53)
Edson Alvarez (West Ham) – 79 (39)


Kunasa mipira kwenye njia
Antonee Robinson (Fulham) – 75
Lewis Cook (Bournemouth) – 59
James Tarkowski (Everton) – 55
Teden Mengi (Luton) – 52
Ryan Christie (Bournemouth) – 49
Jarrod Branthwaite (Everton) – 49
Christian Norgaard (Brentford) – 49
James Garner (Everton) – 45
Joao Palhinha (Fulham) – 43
Edson Alvarez (West Ham) – 42

 
Kuokoa

Joachim Andersen (Crystal Palace) – 191
James Tarkowski (Everton) – 175
Max Kilman (Wolves) – 171
Murillo (Nottingham Forest) – 164
Ethan Pinnock (Brentford) – 155
Jarrad Branthwaite (Everton) – 147
Dara O’Shea (Burnley) – 145
Kurt Zouma (West Ham) – 144
Nathan Collins (Brentford) – 136
Auston Trusty (Sheffield United) – 135


Kugusa mpira
Rodri (Man City) – 3541
Lewis Dunk (Brighton) – 3296
Pascal Gross (Brighton) – 3193
Virgil van Dijk (Liverpool) – 3001
William Saliba (Arsenal) – 2841
Jan Paul van Hecke (Brighton) – 2668
Ruben Dias (Man City) – 2643
Max Kilman (Wolves) – 2501
Declan Rice (Arsenal) – 2481
Bruno Fernandes (Man United) – 2478

 
Kugusa mpira ndani ya boksi la wapinzani
Bukayo Saka (Arsenal) – 250
Alejandro Garnacho (Man United) – 219
Mo Salah (Liverpool) – 215
Dejan Kulusevski (Tottenham) – 204
Ollie Watkins (Aston Villa) – 203
Jeremy Doku (Man City) – 199
Dominic Solanke (Bournemouth) – 199
Luis Diaz (Liverpool) – 196
Darwin Nunez (Liverpool) – 189
Gabriel Martinelli (Arsenal) – 179
Heung-min Son (Tottenham) – 179

 
Kukokota mpira (alivyojaribu)
Mohammed Kudus (West Ham) – 103 (194)
Jeremy Doku (Man City) – 78 (149)
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 67 (118)
Ross Barkley (Luton) – 63 (98)
Luis Diaz (Liverpool) – 61 (128)
Eberechi Eze (Crystal Palace) – 60 (122)
Chiedozie Ogbene (Luton) – 59 (116)
Matheus Cunha (Wolves) – 59 (125)
Rayan Ait-Nouri (Wolves) – 56 (107)
Jordan Ayew (Crystal Palace) – 52 (129)

 
Kucheza mipira ya juu (amepoteza)

Virgil van Dijk (Liverpool) – 132 (29)
Dominic Calvert-Lewin (Everton) – 130 (131)
James Tarkowski (Everton) – 129 (54)
Carlton Morris (Luton) – 124 (154)
Dara O’Shea (Burnley) – 114 (64)
Oli McBurnie (Sheffield United) – 110 (113)
Ethan Pinnock (Brentford) – 103 (46)
Tomas Soucek (West Ham) – 101 (71)
Dan Burn (Newcastle) – 91 (39)
Dominic Solanke (Bournemouth) – 88 (127)


Kurudisha mpira kwenye umiliki
Ryan Christie (Bournemouth) – 211
Lewis Cook (Bournemouth) – 211
Antonee Robinson (Fulham) – 209
Rodri (Manchester City) – 205
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 202
William Saliba (Arsenal) – 202
Conor Gallagher (Chelsea) – 196
Ross Barkley (Luton) – 195
Tyrick Mitchell (Crystal Palace) – 193
Bruno Fernandes (Man United) – 193


Kuchezewa rafu
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 94
Jordan Ayew (Crystal Palace) – 94
Mohammed Kudus (West Ham) – 68
Bukayo Saka (Arsenal) – 67
James Maddison (Tottenham) – 64
Lucas Paqueta (West Ham) – 62
Anthony Gordon (Newcastle) – 62
John McGinn (Aston Villa) – 62
Ezri Konsa (Aston Villa) – 59
Tahith Chong (Luton Town) – 58

 
Kucheza rafu

Conor Gallagher (Chelsea) – 71
Joao Gomes (Wolves) – 58
Destiny Udogie (Tottenham) – 51
Ryan Yates (Nottingham Forest) – 50
Abdoulaye Doucoure (Everton) – 50
Joao Palhinha (Fulham) – 50
Alexis Mac Allister (Liverpool) – 50
Justin Kluivert (Bournemouth) – 49
Douglas Luiz (Aston Villa) – 47


Makosa yaliyosababisha mashuti
Wes Foderingham (Sheffield United) – 6
Jose Sa (Wolves) – 5
David Raya (Arsenal) – 5
Destiny Udogie (Tottenham) – 5
Wachezaji 11 – 4
 

Kadi za njano
Joao Palhinha (Fulham) – 13
Mario Lemina (Wolves) – 11
Anthony Gordon (Newcastle) – 11
Douglas Luiz (Aston Villa) – 11
Marcos Senesi (Bournemouth) – 11
Edson Alvarez (West Ham) – 10
Moises Caicedo (Chelsea) – 10
Joao Gomes (Wolves) – 10
James Tarkowski (Everton) – 10
Wachezaji 14 – 9


 
Kadi nyekundu
Oli McBurnie (Sheffield United) – 2
Yves Bissouma (Tottenham) – 2
Wachezaji 49 – 1

 
Clean sheets
David Raya (Arsenal) – 14
Jordan Pickford (Everton) – 12
Bernd Leno (Fulham) – 9
Ederson (Man City) – 9
Andre Onana (Man United) – 8
Emi Martinez (Aston Villa) – 8
Alisson (Liverpool) – 7
Neto (Bournemouth) – 7
Sam Johnstone (Crystal Palace) – 6
Guglielmo Vicario (Tottenham) – 6
Mark Flekken (Brentford) – 6


Sevu nyingi za makipa
Thomas Kaminski (Luton) – 131
Andre Onana (Man United) – 129
Bernd Leno (Fulham) – 122
Wes Foderingham (Sheffield United) – 118
Alphonse Areola (West Ham) – 118
Jose Sa (Wolves) – 113
Jordan Pickford (Everton) – 109
James Trafford (Burnley) – 106
Neto (Bournemouth) – 106
Mark Flekken (Brentford) – 104