Siri Yanga kuwaita mezani Mwamnyeto, Kibwana Uhaba wa mabeki wazawa wenye uwezo wa juu, uzoefu pamoja na kutokuwa tayari kuwanufaisha wapinzani iwapo wawili hao wataondoka, ni sababu tatu za msingi zilizofanya uongozi wa Yanga kuanza...
Mavunde: Tulitumia saa nane kumvuta GSM Yanga UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku ambayo aliutambulisjha umma wa wanachama na...
Lusajo: Profesa shabiki wa Simba alinikazia nisijiunge Yanga Mshambuliaji Reliants Lusajo anajipambanua kuandaa maisha baada ya kustaafu soka, jambo linalomfanya aipe elimu kipaumbele ili kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi.
Pacome afunga bandeji goti aliloumia LICHA ya kuonekana kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho (FA), kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ameonakana akiwa amefunga bandeji ya bluu kwenye goti aliloumia zaidi...
Chama afungiwa michezo mitatu, Simba, Yanga zapigwa faini KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina...
AKILI ZA KIJIWENI: Simba isijichanganye kwa Lomalisa Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo li njiani laja
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Championship ilikuwa ni msimu wa jasho na damu MSIMU uliopita wa Ligi ya Championship ulifika tamati mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kivumbi, jasho na damu kuvuja kwa wachezaji wa timu 16 zilizokuwa zinapigania nafasi mbalimbali hususan...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Salah, Klopp ugomvi kawaida yao Hivi karibuni moja kati ya matukio yaliyoongelewa sana ni kitendo cha staa wa Liverpool, Mohamed Salah kubishana na kocha wake Jurgen Klopp wakati anafanyiwa mabadiliko ya kuingia uwanjani katika...