Wababe wa Simba na Yanga katikati ya mtego AL Ahly ya Misri itabeba tena? Hilo ndilo swali lililopo vichwani mwa mashabiki na wapenzi wa soka Afrika kwa sasa, wakati wakisubiri mechi mbili za fainali za michuano ya Ligi ya Mabingwa...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers