JKT Tanzania yaua, kubaki Ligi Kuu bado mtihani Mabao kwenye mchezo huo yalifungwa na Najim Mangulu katika dakika 45 ya kipindi cha kwanza na Ayub Lyanga ambaye amefunga pao la pili na la nne kwake msimu huu.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers