Chama atachezaje na Pacome, Aziz Ki Yanga "Chama hata uwe na Maxi Nzengeli, Aziz Ki, Pacome bado ukiwa na yeye pia unaweza kumtumia kulingana na mfumo unaotaka kutumia viungo watano, watatu, wanne, nafasi yake ndani ya kikosi cha Yanga...
PRIME Mwenye namba yake anakuja, vita yabaki kwa Simba, Azam Unaweza kusema ndani ya Simba eneo la beki wa kati mwenye namba yake yupo njiani kutua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa ajili ya kumuachia Lameck Lawi.
MTU WA MPIRA: Kwanini Mgunda asiaminiwe moja kwa moja? MLETE MGUNDA. Ni kauli maarufu zaidi kwa wapenzi wa Simba pale mambo yanapokuwa magumu kwao. Kwanini? Subiri nitakwambia.
Kibu, Tshabalala wamkuna Ferooz, starehe imeniachia makovu ya chuki MWANZONI wa miaka ya 2000, chati zote za muziki kwenye redio za Tanzania ngoma namba moja ilikuwa Starehe.
Lwandamina: Kwa Yanga hii mtakoma! Lwandamina ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Zesco United, mbali na kuifundisha Yanga timu nyingine aliyoifundisha hapa nchini ni Azam FC aliyodumu nayo kwa msimu mmoja wa 2020 hadi 2021 kisha...
JKT Tanzania yaua, kubaki Ligi Kuu bado mtihani Mabao kwenye mchezo huo yalifungwa na Najim Mangulu katika dakika 45 ya kipindi cha kwanza na Ayub Lyanga ambaye amefunga pao la pili na la nne kwake msimu huu.
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Ten Hag afunguka mipango yake Mwisho mbaya kwenye Ligi Kuu England msimu huu pamoja na kipigo kwenye fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester City huenda ikafikisha mwisho ndoa ya Ten Hag na miamba hiyo ya Old Trafford.