Silaha mpya Yanga, Hersi aifuata Lubumbashi, ni mrithi wa Lomalisa
Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma gazeti hili Rais wa klabu hiyo,...