PRIME Silaha mpya Yanga, Hersi aifuata Lubumbashi, ni mrithi wa Lomalisa Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma gazeti hili Rais wa klabu hiyo,...
Boban: Simba bado inamuhitaji Kibu WAKATI za chini ya kapeti zikielezwa nyota wa Simba, Kibu Denis ana asilimia kubwa ya kusaini Yanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya mkataba wake kutarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu...
SIO ZENGWE: Viwanja vya mechi za Kombe la Shirikisho vipangwe mapema Kuna kijana amekuwa akipigania falsafa ya uchumi wa soka (football economy), lakini amegeuka kuwa kichekesho kwa ‘watu wa mpira’ ambao hupenda zaidi watu wanaozungumza vitu vya kufikirika kuliko...
Kibu, Tshabalala wamkuna Ferooz, starehe imeniachia makovu ya chuki MWANZONI wa miaka ya 2000, chati zote za muziki kwenye redio za Tanzania ngoma namba moja ilikuwa Starehe.
Mgunda: No Chama, No problem WAKATI mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha mkuu wa wekundu hao wa Msimbazi, Juma...
Ligi Kuu Bara ni vita ya nafasi LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo Jumatatu kwa timu nane kusaka pointi tatu na michezo minne itapigwa viwanja mbalimbali.
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Pep aipa Arsenal ubingwa Katika mechi tatu zilizosalia Man City itacheza dhidi ya Fulham, Tottenham na West Ham wakati Arsenal mbili zilizosalia itakutana na Man United na Everton.