Kocha mpya Yanga akiitazama timu yake akiwa jukwaani
Kocha mpya wa Yanga Hamdi Miloud akiwa jukwaani akiitazama timu yake ikicheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KenGold muda mchache baada ya kutua Dar es Salaam na kutangazwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya Sead Ramovic kuondoka.