Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 27 UTANGULIZI Mkewe Almasi alikuwa amelala chini hatua chache mbele yake. Kichwa chake kilikuwa kimetenganishwa kabisa na kiwiliwili! “Yesu wangu!” akaguta. Kisha akajisemea: “Mke wangu naye...