Madeni yaliishusha Mwenge, sasa imerudi kivingine Zanzibar TIMU ya Mwenge imefanikiwa kurejea Ligi Kuu Zanzibar 2026-2027 baada ya msimu wa 2024-2025 kushuka daraja, huku sababu kubwa ya kushuka kwao wakati huo ikitajwa ni madeni yaliyoikabili klabu hiyo.
Vita ya mabingwa KVZ, KMKM MABINGWA watetezi wa Ngao ya jamii Zanzibar, KMKM na bingwa wa Ligi Kuu Zanzibar, KVZ watafungua pazia la kuanza kwa ligi hiyo.
Kocha Sheha aahidi makubwa Uhamiaji KOCHA MKUU wa timu ya Uhamiaji, Sheha Khamis amepanga kufanyakazi kwa umakini ili kusimamia malengo mapya ya msimu wa 2026-2027.