CEOs Luxury Retreat na ndoto ya gofu Zanzibar SOKA bado ni mfalme wa michezo Zanzibar, lakini taratibu mchezo wa gofu unaanza kujenga nafasi yake kwa namna tofauti.
Warembo walioandikiwa nyimbo na Barnaba MBALI na uimbaji wake wa kuvutia, sifa nyingine kubwa ya Barnaba ni kujua kuandika nyimbo vizuri na amewaandikia wanamuziki wenzake wengi.
Kwa Simba Queens zinabondwa tu, yaitandika JKT na kutwaa ubingwa SIMBA Queens imerejesha heshima na kutawazwa mabingwa wapya wa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa JKT Queens bao 1-0 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa KMC Complex jioni hii.
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 27 UTANGULIZI Mkewe Almasi alikuwa amelala chini hatua chache mbele yake. Kichwa chake kilikuwa kimetenganishwa kabisa na kiwiliwili! “Yesu wangu!” akaguta. Kisha akajisemea: “Mke wangu naye...
Mabaharia waanza mwendo Ligi Kuu Zanzibar HATIMAYE mabaharia wa KMKM wamepata ushindi wa kwanza kwenye Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwenye ligi hiyo.
Ligi ya Viziwi Zanzibar kuhitimishwa kesho FAINALI ya Ligi ya Viziwi Zanzibar kati ya Hope Deaf City na Wakombozi, itachezwa kesho Jumamosi jioni, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo...
18 kuiwakilisha Zanzibar Brazil KIKOSI cha vijana chipukizi cha Zanzibar Spice Boys, chenye wachezaji 18 wenye umri wa miaka 12 na 13, kinajiandaa kwenda Brazil kushiriki mashindano ya kimataifa ya soka la watoto yaliyopewa...
Pemba na kitendawili cha soka, mabingwa washuka kurejea Ligi Kuu kizungumkuti KUTWAA ubingwa halafu msimu unaofuata kushuka daraja, kisha kushindwa kurejea tena Ligi Kuu, ndiyo hali inayozikabili baadhi ya timu zinazotokea kisiwani Pemba katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Gyokeres aweka rekodi Sweden, mashabiki wamshukia Arteta MASHABIKI wa Arsenal wamemshukia kocha wao Mikel Arteta baada ya mshambuliaji Viktor Gyokeres kuandika historia mpya akiwa na timu ya taifa ya Sweden, huku akionyesha kiwango kinachowafanya...