Abdulmajid Mangalo atimkia Mashujaa ALIYEKUWA beki wa kati wa Pamba Jiji, Abdulmajid Mangalo amekamilisha usajili wake Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili, akienda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mo-hamed Mussa aliyejiunga...