Zuberi Katwila aipigia hesabu kali Yanga GEITA Gold inaendelea na maandalizi ikiwasubiri Yanga kumaliza ratiba ya mechi za kimataifa. Sasa kocha wa kikosi hicho, Zuberi Katwila amefunguka hesabu zake kuelekea mchezo huo dhidi ya...
Mauaji ya kutisha – Sehemu ya 6 UTANGULIZI “Niliwaona na niliona kila kitu kilichotokea. Wakati huo mimi nilikuwa hapa hapa kwenye kioski change.” “Mbona kuna watu wanasema sijui eti mmoja wa hao watu shingo yake ilikuwa...
Kocha Black Sailors lawama zote kwa wachezaji KOCHA wa Black Sailors, Mohammed Ali Tedy amesema moja ya sababu za timu hiyo kufungwa mabao 2-0 na Wembe katika Ligi Kuu Zanzibar, ni kukosa utulivu.
Makamu wa Pili mgeni rasmi Bonanza la Kijini Shangwe MWENYEKITI wa Taasisi ya Rise and Restore Foundation ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kijini, Badria Natai amezindua rasmi maandalizi ya tamasha la michezo na kijamii lijulikanalo kama Kijini...
Uhamiaji bado inasukwa KOCHA MKUU wa Uhamiaji, Sheha Khamis amesema timu hiyo licha ya kupata ushindi katika mechi mbili ilizocheza katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, lakini itaendelea kujipanga vyema...
Baby mama wa Henry, Rajacic ni nani hasa? Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Thierry Henry tayari ni baba wa watoto wanne kutoka kwa wanawake wawili tofauti akiwemo mpenzi wake wa sasa, Andrea Rajacic ambaye wamekuwa pamoja kwa...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Fenerbahce yatikiswa, kocha ajiuzulu FENERBAHCE imeingia kwenye sintofahamu baada ya kocha wake Ismail Kartal kutangaza kujiuzulu mara baada ya timu hiyo kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya AS Roma katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...