David Ouma apata dili jipya Kenya ALIYEKUWA Kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amejiunga na Klabu ya Mathare United ya kwao Kenya, huku akiweka wazi ni sehemu sahihi kwake kuendelea kuonyesha ubora wake, baada ya awali pia...