Cole Palmer adaiwa kuchoshwa Chelsea KIUNGO mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer inadaiwa kuzidi kukata tamaa na maisha ndani ya klabu hiyo na sasa yupo tayari kuangalia uwezekano wa kuondoka Stamford Bridge dirisha hili la usajili.