Mabaharia waanza mwendo Ligi Kuu Zanzibar HATIMAYE mabaharia wa KMKM wamepata ushindi wa kwanza kwenye Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwenye ligi hiyo.
Ligi ya Viziwi Zanzibar kuhitimishwa kesho FAINALI ya Ligi ya Viziwi Zanzibar kati ya Hope Deaf City na Wakombozi, itachezwa kesho Jumamosi jioni, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo...
18 kuiwakilisha Zanzibar Brazil KIKOSI cha vijana chipukizi cha Zanzibar Spice Boys, chenye wachezaji 18 wenye umri wa miaka 12 na 13, kinajiandaa kwenda Brazil kushiriki mashindano ya kimataifa ya soka la watoto yaliyopewa...