Baby mama wa Henry, Rajacic ni nani hasa? Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Thierry Henry tayari ni baba wa watoto wanne kutoka kwa wanawake wawili tofauti akiwemo mpenzi wake wa sasa, Andrea Rajacic ambaye wamekuwa pamoja kwa...