Kocha Black Sailors lawama zote kwa wachezaji KOCHA wa Black Sailors, Mohammed Ali Tedy amesema moja ya sababu za timu hiyo kufungwa mabao 2-0 na Wembe katika Ligi Kuu Zanzibar, ni kukosa utulivu.
Makamu wa Pili mgeni rasmi Bonanza la Kijini Shangwe MWENYEKITI wa Taasisi ya Rise and Restore Foundation ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kijini, Badria Natai amezindua rasmi maandalizi ya tamasha la michezo na kijamii lijulikanalo kama Kijini...
Uhamiaji bado inasukwa KOCHA MKUU wa Uhamiaji, Sheha Khamis amesema timu hiyo licha ya kupata ushindi katika mechi mbili ilizocheza katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, lakini itaendelea kujipanga vyema...