‘Mpenzi Jini’ yamrudisha mjini Z anto KUNA nyimbo zinapopita miaka hazifi, badala yake huzidi kupata maisha mapya kila kizazi kinapopata nafasi ya kuzisikiliza.
Kwa Simba Queens zinabondwa tu, yaitandika JKT na kutwaa ubingwa SIMBA Queens imerejesha heshima na kutawazwa mabingwa wapya wa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa JKT Queens bao 1-0 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa KMC Complex jioni hii.