Lundenga azikwa makaburi ya familia Kidatu Morogoro Mwili wa aliyekuwa mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, umezikwa leo Aprili 22,2025 katika makaburi ya familia, Kidatu, mkoani Morogoro.
IAA, Misitu zaanza vyema nane bora RCL Timu za IAA SC ya Arusha na Misitu ya Tanga zimeanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Mikoa (RCL), hatua ya nane bora baada ya kupata ushindi katika mechi za ufunguzi.