Video 'Dress code' ya Ali Kamwe leo ni sh7 milioni, afungukia mechi za Simba, mapenzi Jumatatu, Mei 25, 2026
Darassa, Harmonize wanaendelea walipoishia! RAPA kutokea Classic Music Group (CMG), Darassa kwa mara nyingine tena ameshirikiana na mwimbaji wa Bongofleva, Harmonize ambaye ni mwanzilishi wa Konde Music Worldwide.
Wakongwe Bongo Fleva wanaotikisa Gen Z WAPO baadhi ya wasanii wakongwe wa Bongo Fleva ambao wakipanda jukwaani, wana ushawishi mkubwa mbele ya kizazi cha Gen Z ambacho hakipendi mambo magumu.