Vinicius awakacha Waarabu LICHA ya kuwekewa ofa nono na matajiri wa Saudi Arabia, Vinicius Junior amekataa ofa hiyo na kukubali kusaini mkataba mpya na Real Madrid ambao utatangazwa mwishoni mwa msimu.
PICHA: Viongozi mbalimbali wa Serekali, TFF, TPLB, Yanga na Simba walivyowasili kwenye mkutano sakata la Dabi