Picha Kocha mpya Yanga atua Dar na msaidizi wake Jumatano, Februari 05, 2025 Aliyekuwa kocha wa Singida BS, Hamdi Miloud awasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi akiwa na msaidizi wake tayari kwa kujiunga na Yanga. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Dube aendeleza moto, Yanga ikijikita kileleni YANGA haijapoa, imeendelea kugawa vipigo ikiichapa Namungo ya Lindi mabao 3-0 huku majukwaani wakiendelea kupaza sauti kwamba 'Hatuchezi'.
Kumbe Rodrygo alikataa kucheza El Clasico STAA wa Real Madrid, Rodrgyo imeripotiwa kugomea kucheza mechi ya El Clasico baada ya kutibuana na wachezaji wenzake kikosini.
Ancelotti akabidhiwa mikoba Brazil HATIMAYE, Carlo Ancelotti amethibitishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya Brazil.