Picha Transit vs Stend United Jumatatu, Februari 03, 2025 Picha za wachezaji wa Transit Camp na Stend United katika mchezo wa ligi ya Championship uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani, Transit ikikubali ipigo cha mabao 3-0. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Mambo matatu kuibeba Simba Morocco KOCHA wa Simba, Msauzi Fadlu Davids anaamini kuna mambo matatu muhimu ambayo yanaweza kuibeba Simba kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco...
Dube aendeleza moto, Yanga ikijikita kileleni YANGA haijapoa, imeendelea kugawa vipigo ikiichapa Namungo ya Lindi mabao 3-0 huku majukwaani wakiendelea kupaza sauti kwamba 'Hatuchezi'.
Kumbe Rodrygo alikataa kucheza El Clasico STAA wa Real Madrid, Rodrgyo imeripotiwa kugomea kucheza mechi ya El Clasico baada ya kutibuana na wachezaji wenzake kikosini.