Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

VETA yaizima B4 ligi ya mkoa Shinyanga

Muktasari:

  •  Kamishina wa ufundi na mashindano wa mkoa huo, George Simba aliliambia Mwanaspoti kwamba, ameridhishwa na ushindani ulioonyeshwa na timu zote mbili katika mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kupendeza. 

TIMU ya kikapu  ya Veta ilidhihirisha ubora wake baada ya kuifunga timu ya B4 Mwadui kwa pointi 45-39, katika ligi ya kikapu mkoa wa Shinyanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mwadui

 Kamishina wa ufundi na mashindano wa mkoa huo, George Simba aliliambia Mwanaspoti kwamba, ameridhishwa na ushindani ulioonyeshwa na timu zote mbili katika mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kupendeza. 

Akizungumzia kuhusiana na viwango vya uchezaji wa timu zinazoshiriki ligi hiyo, alisema vimeongezeka sana tofauti na ligi zilizopita.

Akizidi kuongea, alisema:  “Kuongezeka huko kunatokana na mafanikio ya mkoa  huu katika mchezo wa kikapu.”

Timu zinazoshiriki ligi hiyo ni Kahama Sixers, B4 Mwadui, Risasi na Veta.