Video BALAA LA MNYAMA KWA MKAPA LITAUA MTU, SHABIKI SIMBA AIONA FAINALI CAFCC, MWARABU APASUKA VIBAYA MNO Alhamisi, Aprili 10, 2025
PRIME Wachezaji Simba waongezewa mzuka, watangaziwa dau nono SIMBA inahesabu saa kabla ya kushuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Sauzi katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mfadhili wa zamani...
PRIME Stellenbosch yapata pigo, kocha akuna kichwa KIKOSI cha Stellenbosch kilitarajiwa kutua nchini jana tayari kwa pambano la kwanza la nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba, huku ikipata pigo.
PRIME Hamdi aja na mkakati wa siku 5 Yanga KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema licha ya ugumu wa ratiba iliyonayo timu hiyo, lakini ametengeneza mkakati kabambe wa siku tano ili kuendelea kugawa dozi kama kawaida katika Ligi Kuu...