PRIME Shughuli nzito Kwa Mkapa, hesabu za Fadlu ziko hivi KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kupoteza ugenini kwa mabao 2-0 dhidi ya Al Masry.
Olmo, Pau kizungumkuti FC Barcelona NYOTA wa Barcelona, Dani Olmo na Pau Victor wanakabiliwa na hatari ya kuondolewa tena kikosini na mamlaka za soka nchini Hispania baada ya kunusurika kadhia hiyo mwaka jana.
PRIME Simba yapewa mwamuzi mwenye rekodi zake KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa makini na mwamuzi wa mchezo wao wa marudiano kutokana na...