PRIME Kocha mpya Yanga akwaa kisiki, kanuni hizi zinambana Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu...
PRIME Hiki hapa kilichomuondoa Ramovic Yanga KUNA mshtuko umetokea leo jioni kwenye mazoezi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakati kikosi hicho kikijiandaa na mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kesho Jumatano Februari 5, 2025...
PRIME Ishu ya Aslay kutua WCB ipo hivi, menejimenti yafunguka Wiki hii kumeibuka tetesi za staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka inadaiwa ana mpango wa kujiunga na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.