PRIME Mkwanja wa Ramovic Algeria, hata wewe usingebaki KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye mbioni kujiunga na CR Belouizdad ya Algeria atavuta mshahara wa kibosi...
PRIME Kocha mpya Yanga akwaa kisiki, kanuni hizi zinambana Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu...
PRIME Hiki hapa kilichomuondoa Ramovic Yanga KUNA mshtuko umetokea leo jioni kwenye mazoezi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakati kikosi hicho kikijiandaa na mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kesho Jumatano Februari 5, 2025...