Video SIWA WA KOMBOLELA AFAFANUA UHALISIA WA MAISHA YAKE, NDOA TATU NA SHEREHE YA TALAKA! AMFUNGUKIA DULLA Ijumaa, Mei 23, 2025
PRIME Diarra amaliza utata Yanga KIPA namba moja wa Yanga, Diarra Djigui yupo kambi ya timu ya taifa ya Mali, lakini kabla ya kuondoka nchini amemaliza utata uliokuwa ukiwavuruga mashabiki wa klabu hiyo.
PRIME Mahakama yafanya uamuzi kesi Dabi ya Kariakoo SAKATA la mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambalo Yanga imeapa kuwa haitapeleka timu uwanjani Juni 15, mwaka huu, limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa mahakamani na mmoja wa wanachama wa Yanga...
PRIME Nondo za Lejendi... Tatizo liko hapa, marefa mnawaonea tu! NITAANZA kwa kukupa mfano mmoja. Nimewahi kwenda sehemu sitapataja moja kwa moja. Ilikuwa ni ngazi ya wilaya. Nilishuhudia baada ya kumalizika kikao cha mechi wasimamizi wanamuuliza kiongozi wa...