Yanga jeuri tu! >BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) limepokea majina 20 ya Yanga na kuyaangalia mara mbili na kisha kuyaweka pembeni na kuwaambia viongozi wa Jangwani pamoja na...
Maximo ashusha mastaa Kagame >KOCHA wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo ameamua kuwatupia mzigo wa Kombe la Kagame wasaidizi wake, Leonardo Neiva na Shadrack Nsajigwa na kuwapa wachezaji 21 ambao anasema wana uwezo wa...
Vita ya ubingwa Ligi Kuu Bara ngoma inogile msimu ujao TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao ziko katika harakati za kujiimarisha na wachezaji wa timu hizo wanakiona cha moto sasa kwa kukimbizwa ufukweni na kupewa mazoezi mazito viwanjani na...
Yanga wameamua, Maximo hataki kubahatisha YANGA kweli wameamua. Kocha Marcio Maximo ‘The Chosen One’ hataki kubahatisha na kuanzia sasa kila nafasi katika kikosi chake itakuwa ina watu wa uhakika wasiopungua watatu.
Nooij anatumia mfumo wa kizamani bila ya kujua MFUMO ni mpangilio wa wachezaji wanavyojipanga uwanjani ili kutekeleza majukumu waliyopewa na mwalimu wa timu kocha au meneja wao.
MCHUANO: Diego Costa katika vita ya Lukaku na Torres CHELSEA imemnyakua straika Diego Costa na kumsainisha mkataba wa miaka mitano. Ni muda mrefu na kama staa huyo Mhispaniola atakuwa kwenye ubora wake, basi Chelsea watamfaidi kwelikweli.
Maximo: Tatizo ni uteuzi wa Scolari KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ‘The Chosen One’ na msaidizi wake, Leonardo Neiva, juzi Jumanne hawakupata usingizi kisa kikiwa ni Brazil kupokea kipigo cha aibu cha mabao 7-1 mbele ya...
BRAZIL 2014: Kwanini Brazil ilifungwa mabao saba? HAKUNA uchawi katika soka la kisasa. Uwe ulilitazama pambano la Brazil na Ujerumani ukiwa Tanzania au hapa Brazil, ilikuwa rahisi kugundua kwa nini Brazil imefungwa mabao 7-1 na Ujerumani.
SI MCHEZO: Saa moja ndani ya klabu ya Corinthians >KATIKA Mtaa wa Sao Jorge, nje kidogo ya Jiji la Sao Paulo hapa Brazil ndipo yalipo makazi ya klabu ya Ligi Kuu Brazil, Corinthians. Ni ndoto ya mchana kuwepo eneo hilo. Pindi unapokuwapo...
Heh! Coutinho anafanana na Oscar? >MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye amestuka baada ya kumwona kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Mbrazil, Andrey Coutinho, akadhani wamemsajili Oscar wa Chelsea.