NYUMA YA PAZIA : Tunampeleka shetani huyu kwa Jose Mourinho?
ALBERT Einstein, mwanafalsafa mahiri wa zamani wa Ujerumani aliwahi kusema ‘Shetani ametuacha tuamue vitu vingi tunavyofurahia katika maisha, ama tuumie katika afya zetu, au tuumie katika mioyo...