Diddy akimbiza kwa mkwanja mnene

Rapa Sean “Puff Daddy” Combs ameongoza orodha ya wasanii wa HipHop waliolipwa zaidi 2017 kwa mujibu wa jarida la Forbes’ Highest-Paid Hip-Hop Artist 2017.
Diddy ametajwa kutengeneza dola 130 milioni mwaka huu pamoja na kutokuwa na album yoyote sokoni kwa sasa.
Hata hivyo Diddy anapata fedha zake nyingi kupitia biashara zake za Ciroc Vodka, DeLeon Tequila, Maji ya AQUAhydrate, Tour ya muziki ya Bad Boy reunion.
Pia, mauzo makubwa ya hisa zake katika mavazi na bidhaa za Sean Jean kwa kiasi cha dola 70 milioni.
Orodha ya wanamuziki hao wanaolipwa zaidi ni :
1. Diddy – Dola 130 milioni
2. Drake – 94 milioni
3. JAY Z – 42 milioni
4. Dr. Dre – 34.5 milioni
5. Chance the Rapper – 33 milioni
6. Kendrick Lamar – 30 milioni
7. Wiz Khalifa – 28 milioni
8. Pitbull – 27 milioni
9. DJ Khaled – 24 milioni
10. Future – 23 milioni
11. Kanye West – 22 milioni
12. Birdman – 20 milioni
13. J. Cole – 19 milioni
14. Swizz Beatz – 17 milioni
15. Snoop Dogg – 16.5 milioni
16. Nicki Minaj – 16 milioni
17. Lil Wayne – 15.5 milioni
18. Macklemore & Ryan Lewis – 11.5 milioni
19. Rick Ross – 11.5 milioni
20. Lil Yachty – 11 milioni