Waliotemwa na kila timu Ligi Kuu England

WAKATI dirisha la usajili wa majira kiangazi nchini England linatarajiwa kufunguliwa Juni 9 mwaka huu, kuna baadhi ya wachezaji wameshaonyeshewa mlango wa kutokea.
Dirisha hili la usajili linatarajiwa kuendelea ndani ya wiki 12 hadi litakapofungwa Agosti 31.
Hii hapa orodha ya timu kutoka England iliyowaonyesha baadhi ya wachezaji wao mlango wa kutokea na wachezaji iliowasajili.
ARSENAL
WANAOONDOKA
David Luiz (kaachwa)
Levi Laing (kaachwa)
Joseph Olowu (kaachwa)
Luke Plange (kaachwa)
Jason Sraha (kaachwa)
ASTON VILLA
WANAOONDOKA
Ahmed El Mohamady (kaachwa)
Neil Taylor (kaachwa)
Tom Heaton (kaachwa)
Lewis Brunt (kaachwa)
Brad Burton (kaachwa)
Jack Clarke (kaachwa)
Charlie Farr (kaachwa)
Ben Guy (kaachwa)
Callum Rowe (kaachwa)
Harrison Sohna (kaachwa)
Michael Tait (kaachwa)
Jake Walker (kaachwa)
BRENTFORD
WANAOONDOKA
Jared Thompson (kaachwa)
Kane O’Connor (kaachwa)
Aubrel Koutsimouka (kaachwa)
Julien Carre (kaachwa)
BRIGHTON & HOVE ALBION
WANAOONDOKA
Jose Izquierdo (kaachwa)
BURNLEY
WANAOONDOKA
Robbie Brady (kaachwa)
Connor Barrett (kaachwa)
Jordan Cropper (kaachwa)
Ismail Diallo (kaachwa)
Marcel Elva-Fountaine (kaachwa)
Arman Taranis (kaachwa)
Matty Rain (kaachwa)
Mace Goodridge (kaachwa)
CHELSEA
WANAOONDOKA
Willy Caballero (kaachwa)
Jamal Blackman (kaachwa)
CRYSTAL PALACE
WANAOINGIA
Jacob Montes (Georgetown University)
EVERTON
WANAOONDOKA
Theo Walcott (kaachwa)
Matthew Penningtons (kaachwa)
Joshua King (kaachwa)
Yannick Bolasie (kaachwa)
Muhamed Besic (kaachwa)
Josh Bowler (kaachwa)
Dennis Adeniran (kaachwa)
Con Ouzounidis (kaachwa)
Callum Connolly (kaachwa)
Bobby Carroll (kaachwa)
Daniel Lowey(kaachwa)
Jack McIntyre (kaachwa)
Dylan Thompson (kaachwa)
LEEDS UNITED
WANAOONDOKA
Gaetano Berardi (kaachwa)
Ouasim Bouy (kaachwa)
Barry Douglas (kaachwa)
Cole Gibbon (kaachwa)
Niklas Haugland (kaachwa)
Eunan O'Kane (kaachwa)
Matthew Turner (kaachwa)
LEICESTER CITY
WANAOONDOKA
Christian Fuchs (kaachwa)
Matty James (kaachwa)
Wes Morgan (kaachwa)
LIVERPOOL
WALIOSAJILIWA
Ibrahima Konate (RB Leipzig)
WANAOONDOKA
Liam Coyle (kaachwa)
Joe Hardy (kaachwa)
Abdi Sharif (kaachwa)
Jack Walls (kaachwa)
MANCHESTER CITY
WANAOONDOKA
Sergio Aguero (Barcelona)
Eric Garcia (Barcelona)
MANCHESTER UNITED
WANAOONDOKA
Sergio Romero (kaachwa)
Joel Pereira (kaachwa)
Jacob Carney (kaachwa)
Mark Helm (kaachwa)
Iestyn Hughes (kaachwa)
Arnau Puigmal(kaachwa)
Max Taylor (kaachwa)
Aliou Traore (kaachwa)
NEWCASTLE UNITED
WANAOONDOKA
Owen Bailey (kaachwa)
Oliver Walters (kaachwa)
Jude Swailes (kaachwa)
Yannick Toure (kaachwa)
Oliver Marshall (kaachwa)
Ludwig Francillette (kaachwa)
Florent Indalecio (kaachwa)
Kyle Scott (kaachwa)
George Rounsfell (kaachwa)
Lucas Gamblin(kaachwa)
Lewis Brannen (kaachwa)
Tom Midgley (kaachwa)
Josh Gilchrist (kaachwa)
Josh Harrison (kaachwa)
Tai Ebanks (kaachwa)
NORWICH CITY
WALIOSAJILIWA
Kenny Coker (Southend)
WANAOONDOKA
Alex Tettey (kaachwa)
Mario Vrancic (kaachwa)
Jordan Thomas (kaachwa)
Zach Dronfield (kaachwa)
William Hondermarck (kaachwa)
Louis Lomas (kaachwa)
Ethen Vaughan (kaachwa)
SOUTHAMPTON
WALIOSAJILIWA
Theo Walcott (Everton)
WANAOONDOKA
Ryan Bertrand (kaachwa)
Jake Hesketh (kaachwa)
Josh Sims (kaachwa)
David Agbontohoma (kaachwa)
Lucas Defise (kaachwa)
Pascal Kpohomouh (kaachwa)
Kingsley Latham (kaachwa)
Kameron Ledwidge (kaachwa)
James Morris (kaachwa)
Thomas O'Connor (kaachwa)
Tommy Scott (kaachwa)
TOTTENHAM HOTSPUR
WANAOONDOKA
Danny Rose (kaachwa)
Paulo Gazzaniga (kaachwa)
Enock Asante (kaachwa)
Chay Cooper (kaachwa)
Keenan Ferguson (kaachwa)
George Marsh (kaachwa)
Rodel Richards (kaachwa)
Jack Roles (kaachwa)
Aaron Skinner (kaachwa)
Kazaiah Sterling (kaachwa)
Shilow Tracey (kaachwa)
WATFORD
WALIOSAJILIWA
Kwadwo Baah (Rochdale)
Mattie Pollock (Grimsby Town)
Imran Louza (FC Nantes)
WANAOONDOKA
Achraf Lazaar (kaachwa)
Carlos Sanchez (kaachwa)
Jerome Sinclair (kaachwa)
Mamadou M’Baye (kaachwa)
WEST HAM UNITED
WALIOSAJILIWA
Thierry Nevers (Reading)
WANAOONDOKA
Oladapo Afolayan (Bolton) (kaachwa)
Fabian Balbuena (kaachwa)
Sean Adarkwa (kaachwa)
Olatunji Akinola(kaachwa)
Samuel Caiger (kaachwa)
Alfie Lewis (kaachwa)
Joshua Okotcha (kaachwa)
WOLVERHAMPTON WANDERERS
WANAOONDOKA
Sadou Diallo (kaachwa)
Cyriaque Mayounga (kaachwa)
Hong Wan (kaachwa)