Video CEO BODI YA LIGI AFUNGUKA ISHU YA URAIA MASTAA SINGIDA BS, USAJILI WAO UPOJE? Jumamosi, Februari 15, 2025
PRIME Ubingwa Ligi Kuu bado mgumu, mtego upo hapa! BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Tabora United hivi karibuni, hakika mechi saba zilizobaki kwa Simba na Yanga zimewekewa mtego wa ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2024/2025.
PRIME Fei Toto atoa kauli nzito Azam FC KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea katika vita ya ubingwa, huku akifichua siri kinachomkwamisha kufunga...
PRIME Shughuli nzito Kwa Mkapa, hesabu za Fadlu ziko hivi KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kupoteza ugenini kwa mabao 2-0 dhidi ya Al Masry.