Video MAESTRO: MNGUTO ALICHELEWA KUJIUZULU BODI YA LIGI, KLABU ZIJIANDAE NA HAYA Jumanne, Juni 17, 2025
PRIME Umemzingatia pilato Amin Omar? MCHEZO wa Dabi ya Kariakoo umemalizika ukihitimisha msimu wa Ligi Kuu Bara 2024-2025 na kutoa jibu la bingwa baada ya Yanga kuichapa Simba mabao 2-0, ushindi ambao umeifanya timu hiyo kutwaa...
Ahly, Wydad zimevuna zilichopanda Kombe la Dunia MAMBO yameonekana kuwa magumu sana kwa wawakilishi wa Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia la Klabu zinazoendelea huko Marekani.
PRIME Fei Toto, Yanga kimeeleweka KUNA furaha inaendelea Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, hiyo ni baada ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo na ya 31 kihistoria. Wakati furaha hiyo...