‘Bosi’ Alliance aagwa jijini Mwanza, TFF kushughulikia madai ada ya uhamisho wa wachezaji
Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho Jumamosi...