Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Jinsi ya kujisajili Premier Bet: Muongozo Hatua kwa Hatua

Muktasari:

  • Je, unatafuta njia ya kubeti mtandanoni kirahisi nchi tanzania? Anza kwa kupitia muongozo huu wa jinsi ya kujisajili Premier Bet. Mtandao wa Premier Bet unaruhusu mchezaji yeyote mwenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kubeti katika michezo tofauti.




Anaweza kubeti katika michezo ya kasino na jackpot pamoja na mechi za wakati huo za mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mashindano ya gari, na kadhalika. Kuweza kufanya hivi, wachezaji wapya wanapaswa kujisajili kupitia tovuti ya Premier Bet.

Mchezaji akimaliza mchakatio huu unaochukua dakika chache tu, anaweza kuanza kubeti katika mchezo wowote ambao upo katika mtandao wa Premier Bet. Kujua jinsi ya kujisajili na Premier Bet, fatisha muongozo huu hapa chini.

Mfumo wa Kujisajili wa Premier Bet Unafanyaje Kazi?

Mfumo wa Kujisajili wa Premier Bet unafanya kazi kirahisi sana. wachezaji wapya wanaweza kujisajili kupitia simu za mkononi, kompyuta za mezani au mpakato. Maelezo hapo chini yanaelezea jinsi ya kujisajili Premier Bet hatua kwa hatua;

Kuna njia mbili ya Kujisajili Premier bet. Wachezaji wanaweza kuchagua usajili wa haraka au usajili wa kikamilifu. Usajili kamilifu uondoa usumbufu wabaadae, ususani wakati wa kutoa fedha.

Usajili wa Premier Bet wa Haraka

  1. Kwenye kompyuta yako au simu ya mkononi, temeblea tovuti rasmi yaPremier Bet.
  2. Kisha, Kwenye upande wa kulia wa juu, utaona kitufe kimeandikwa “Jisajili”. Kama tovuti ipo katika lugha ya kingereza, bonyeza kitufe kilichoandikwa “ ENGLISH” na chenye bendera ya Uingereza pembeni. Utapewa nafasi ya kubadili lugha kuwa “SWAHILI” pia, utaonda bendera ya Tanzania. Bonyeza hicho kitufe kubadili lugha.
  3. Ukisha bonyeza kitufe cha “JISAJILI” utapelekwa kwenye ukurasa ya kujitambulisha. Kwenye ukurasa hio,  jaza namba ya simu unayotumia Tanzania na tengeneza neno la siri (NYWILA). Kisha rudia neno la siri kwenye kisanduku cha mwisho kulihakiki.
  4. Baada ya hapo, thibitisha umri wako kuwa ni zaidi ya miaka 18 na pia kubaliana na sheria na masharti ya Premier Bet. Unaweza fanya hivyo kwa kubofya visanduku vya pembeni ya maneno hayo.  Utaona tiki za kijani zikitokea kama ishara ya huhakiki.
  5. Kisha, bonyeza “TUMA KODI YA USAJILI”.
  6. Utapelekwa kwenye ukurasa mpya ambayo utaweza kuweka kodi. Pia, kodi yenye namba sita itatumwa kwenye namba ya simu uliyotumia kusajili kupitia ujumbe mfupe.
  7. Ukishapata hio kodi, weka namba ulizotumiwa kwenye kisanduku sahii kisha bofya “JISAJILI”.
  8. Usajili wa haraka utakuwa umekamilika na unaweza kuanza kubeti baada ya kuweka fedha wenye akaunti yako kupitia huduma za Mobile Money za Airtel, Vodacom, au Tigo Pesa.

Usajili wa Premier Bet wa Ukamilifu

  1. Ukiwa kwenye ukurasa wa kujitambulisha,  jaza namba ya simu unayotumia Tanzania na tengeneza neno la siri (NYWILA). Kisha rudia neno la siri kwenye kisanduku cha mwisho kulihakiki.
  2. Baada ya hapo, thibitisha umri wako kuwa ni zaidi ya miaka 18 na pia kubaliana na sheria na masharti ya Premier Bet. Unaweza fanya hivyo kwa kubofya visanduku vya pembeni ya maneno hayo.  Utaona tiki za kijani zikitokea kama ishara ya huhakiki.
  3. Kisha, bonyeza “Tumia fomu kamili ya usajili”.
  4. Utapelekwa kwenye ukurusa wenye fomu ya usajili kamili. Kwenye fomu hii utajaza jina lako la kwanza na la mwisho, anwani ya barua pepe, nambari ya simu   nayotumia tanzania na kutengeneza neno lako la siri (NYWILA) katika visanduku sahihi.
  5. Ukisha maliza kujaza fomu ya usajili, thibitisha kwamba wewe una umri wa zaidi ya miaka 18. Pia, kubali sheria na masharti ya Premier bet kwa kubofya kisanduku pemebeni. Ukisha bofya sanduku, utaona kitiki cha kijani kama ishara ya uthibitisho.
  6. Kisha bofya “JISAJILI”.
  7.  Usajili wa kikamilifu utakuwa umekamilika na unaweza kuanza kubeti baada ya kuweka fedha wenye akaunti yako kupitia huduma za Mobile Money za Airtel, Vodacom, au Tigo Pesa.


Usajili wa Premier Bet kutumia Simu ya Mkononi

Wachezaji wanaweza kujisajili na Premier Bet kwa kupitia simu ya mkononi. Kama kawaida, usajili wa Premier Bet ni rahisi na uchukua dakika chache. Lakini unaweza kujisali kutumia app ya Premier Bet kama una simu aina ya Android pekee.

  1. Kujisajili kutumia simu ya mkononi, pakua app ya Premier Bet kupitia Google Play.
  2. Kisha fungua app ya Premier Bet na bofya “JISAJILI”. Kama app ipo kwenye lugha ya Kingereza, unaweza kubadili kuwa lugha ya “Swahili”. Kama kawaida, utaona bendera pembeni ya kila lugha – lugha ya Kingereza ina bendera ya Uingereza pembeni na lugha ya Swahili ina bendera ya Tanzania.
  3. Ukibofya “JISAJILI” utapelekwa kwenye ukurasa wenye fomu kamili ya usajili.
  4. Jaza jina la kwanza na mwisho, barua pepe, namba ya simu, na neno la siri.
  5. Ukisha maliza kujaza fomu ya usajili, thibitisha kwamba wewe una umri wa zaidi ya miaka 18. Pia, kubali sheria na masharti ya Premier bet kwa kubofya kisanduku pemebeni. Ukisha bofya sanduku, utaona kitiki cha kijani kama ishara ya uthibitisho.
  6. Kisha bofya “JISAJILI”.
  7.  Usajili wa kikamilifu utakuwa umekamilika na unaweza kuanza kubeti baada ya kuweka fedha wenye akaunti yako kupitia huduma za Mobile Money za Airtel, Vodacom, au Tigo Pesa.


Je, Premier Bet Hufanya Vipi Uhakiki wa Wateja Wake?

Mteja anapaswa kuwasilisha nyaraka kadha kwenye mtandao wa Premier Bet. Baada ya kujisajili na Premier Bet, mteja anaweza kuendelea kuweka hela na kubeti. Ila kabla mteja kutoa pesa kwenye akaunti yake ya Premier Bet , lazimi ahakiki maelezo yake.

Timu ya huduma kwa wateja ya Premier Bet itawasiliana na mteja kumtaarifu kuhusu uhakiki na kuomba nyaraka ikiwemo kitambulisho cha serikalai. Nyaraka hizi ni  nyaraka ya kusafiria (pasipoti) au leseni ya dereva.

Pia, mteja ataombwa kuwasilisha nyaraka ya matumizi (bili) ya nyumbani. Bili inaweza kuwa bili ya umeme au maji inayoonesha anuani ya makazi, pamojia na nyaraka nyingine yoyote ambayo inaweza kuhakiki mteja huyo.

Nyaraka hizi zitabidi kufanyiwa “scannig” na kutumwa kwa timu ya huduma ya wateja wa Premier kutumia barua pepe. Premier Bet hufanya uthibiti huu wa wateja ili kufatisha sheria za bodi ya michezo ya Tanzania.

Lakini Premier Bet hufanyi uthibiti huu tofauti kidogo kufanya urahisi kwa wateja wake. Majumba na tovuti nyigine za kubeti na kamari hufanya uthibiti huu mwanzoni kabisa. Lakini wateja wa Premier Bet hawapaswi kufanya hivyo. Mteja anabidi kutuma nyaraka zake pindi timu ya huduma ya wateja huwasiliana nae.

Je, Nini ni Mahitaji ya Kujisajili na Premier Bet Tanzania?

Mteja anapaswa kuwa na umri wa miaka isiyopungua 18 kujisajili Premier Bet. Pia, mteja anapaswa kuwa mkazi wa Tanzania ili haweze kutumia tovuti ya Premier Bet ya Tanznia.  Pamoja na haya, mteja lazima awe na namba ya simu ya Tanzania ili haweze kupata kodi ya kwanza ya usajili, kupata ujumbe mfupi kutoka Premier Bet kuhusu akaunti yake.

Namba ya simu humruhusu mteja kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti ya Premier Bet pia. Mteja pia anahitaji mtandao wa intaneti kutumia tovuti au app ya Premier bet pamoja na neno la siri lenye nguvu ili kumlinda.

Je, Wachezaji Hupata Bonasi Gani Baada ya Kujisajili na Kutengeneza akaunti ya Premier Bet?

Kili mteja mpya wa Premier Bet Tanzania atapata bonasi akifungua akaunti  na kuweka Tsh.1000  kwenye akaunti yake ya Premier Bet. Bonsai hii inamruhusu mteja mchezo wa Tsh.1000. Pia, mteja hahitaji kuweka kodi wakati wa usajili wal sehemu yoyote kwenye tovuti ili kupata hii kodi. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Jinsi ya Kuweka Pesa Premier Bet Tanzania?

Mteja anaweza kuweka pesa kwenye akaunti yake ya Premier Bet kutumia huduma ya Mobile Money ya mtandao wa simu yake. Kwa sasa, mteja anaweza kutumia Airtel Money, Tigo Pesa au Vodacom Mpesa kuweka pesa kwenye akaunti yake ya Premier Bet.

Kuweka pesa, ingia kwenye akauti yako ya Premier Bet kupitia tovuti yake rasmi. Kisha boya kitufe cha “weka Pesa” na kufatisha maelekezo. Unabidi kuwa na pesa ya kutosha kwenye simu yako ili kuweza hukamisha pesa hizo kwenda kwenye akaunti ya Premier Bet.

Jinsi ya Kutoa Pesa Premier Bet Tanzania?

Mteja anaweza kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yake ya Premier Bet kutumia huduma ya Mobile Money ya mtandao wa simu yake. Mteja anaweza kutoa pesa kupitia huduma ya Airtel Money, Tigo Pesa au Vodacom Mpesa. Kufanya hivyo, , ingia kwenye akauti yako ya Premier Bet kupitia tovuti yake rasmi.

Kisha boya kitufe cha “Toa Pesa” na kufatisha maelekezo. Hii itakuruhusu kuto apesa kwenye akaunti ya Premier Bet na kuipeleka kwenye akaunti yako ya mobile money kwenye namba ya simu uliyotumia kusajili akaunti ya Premier Bet.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Premier Bet Tanzania

Ninatengeneza Vipi Akaunti ya Premier Bet?

Kufungua akaunti ya Premier Bet, temebelea tovuti ya Premier Bet kisha bofya kitufe cha “JISAJILI”. Baada ya hapo, utapelekwa kwenye ukurasa wa kujisajili ambapo utajaza namba yako ya simu ya Tanzania na kutengeneza neno lako la siri utalotumia kwenye tovuti hiyo. Kisha, chagua kati ya usajili wa haraka au usajili kamilifu.

Je, Premier Bet ni Kampuni Iliyosajiliwa Tanzania?

Premier Bet ni kampuni iliyosajiliwa na kupewa leseni ya uendeshaji na Bodi ya Michezo ya Kubashiri Tanzania.Premier Bet uendesha huduma zake kwa kukidhi na kufata sheria zote za michezo ya kubashiri nchini Tanzania.

Ninatumiaje Bonasi ya Premier Bet?

Unaweza kutumia bonasi ya Premier Bet kuweka beti kwenye michezo yoyote wenye tovuti ya Premier Bet. Bonasi ya Premier Bet inathamnai ya Tsh.1000. Hivyo, unaweza kuitumia kwenye mchezo wowote wa Tsh.1000.