Mourinho azua balaa jingine Uturuki, hatihati kupigwa rungu
Kocha wa Fenerbahce, Jose Mourinho amejikuta tena kwenye mzozo mwingine baada ya kuzua tafrani kubwa katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Uturuki kati ya timu yake dhidi Galatasaray, mchezo...