Video 'TUMECHOKA MSIMU HUU TUNABEBA UBINGWA WA AFRIKA, ANAYEIONA SIMBA HAICHEZI VIZURI HAJUI MPIRA' Jumanne, Januari 21, 2025
PRIME Ngoma afichua... Mkakati wa bao tatu SIMBA ina kibarua kizito Jumatano hii dhidi ya Al Masry huku ikifahamu kwamba ili kuvuka moja kwa moja kucheza nusu fainali, inapaswa kushinda kuanzia mabao 3-0.
PRIME Namba zaipa Simba bao 2 dhidi ya Al Masry SIMBA ina deni la kurudisha mabao mawili kisha kusaka la ushindi itakapocheza dhidi ya Al Masry ili kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Rupia afunga bao la 10, aizamisha Azam FC Bao la dakika ya 75 la Mkenya Elvis Rupia, limetosha kuipa pointi tatu muhimu Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, uliopigwa...