Video AHMED ALLY AIKWARUA YANGA AKIENDA MISRI "KIPELE KIMEPATA MKUNAJI, TUNAINGIA VITANI, HII TUNAVUKA" Ijumaa, Machi 28, 2025
PRIME Kilichoiponza Simba Misri hiki hapa, hesabu mpya zipo hivi ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ugenini dhidi ya Al Masry katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la...
Vicky, Madina vitani kesho Kenya Ladies Open Baada ya kushindwa kumaliza mashindano ya Kimataifa ya gofu ya wanawake nchini Afrika Kusini mwezi Februari mwa mwaka huu, Vicky Elias amepania kufuta makosa yake katika mashindano ya wazi ya...
KenGold, Kagera Sugar na mtihani mzito nyumbani RAUNDI ya 24 ya Ligi Kuu Bara inaendelea Alhamisi hii kwa michezo mitatu kupigwa huku miwili ikiwa ya mapema kuanzia saa 10:00 jioni na mmoja saa 1:00 usiku.