Video KARIA, MNGUTO WAMALIZANA NA WAZIRI KABUDI, WAGOMA KUONGEA KUHUSU SAKATA LA DABI YA KARIAKOO Ijumaa, Machi 28, 2025
PRIME Misri Pamoto… Walioshika mechi watajwa UKIANGALIA kikosi cha Simba kisha ukichungulia pale Al Masry, kuna kitu utagundua kuhusu mastaa wawili, Jean Charles Ahoua na Fakhreddine Ben Youssef ambao Jumatano watakuwa na shughuli nzito ya...
Mo Dewji alivyochochea mageuzi ya soka Tanzania Wakati jarida la Forbes likimuorodhesha Mohammed Dewji (MO) kuwa bilionea wa 12 barani Afrika katika chati mpya ya 2025, klabu ya Simba ni taasisi ya michezo iliyonufaika na utajiri huo.
Masaka kukaa benchi Brighton, tatizo ni hili MECHI mbili za mwisho ilizocheza Brighton baada ya mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kutoka kwenye majeraha ameendelea kusalia kwenye benchi.