Fadlu: Dakika 10 zitaamua, Mpanzu apigilia msumari mchongo wa fainali CAFCC
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, aamesema timu yake itaenda Afrika Kusini kushambulia na kufunga, si kulinda bao moja walilopata nyumbani na kwamba katika dakika 10 za kwanza wataipa Stellenbosch ya...