Video MASTERMIND: WANANIITA MENDEZ, AELEZA NAMNA MWAMNYETO ANAVYOLIPWA KIBOSI YANGA Alhamisi, Machi 06, 2025
Simba yaing'oa Al Masry, yatinga nusu fainali CAFCC HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kakolanya asimamishwa Namungo FC UONGOZI wa Namungo umethibitisha kumsimamisha kipa wao, Beno Kakolanya kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu huku mchezaji huyo akisubiri hatma yake baada ya suala lake kupelekwa kamati ya...
Penalti ya Pamba Jiji yamshangaza Minziro KITENDO cha Pamba Jiji kupewa mkwaju wa penalti dakika ya 90+7 kisha kukosa ilipotoka sare ya 1-1 na Fountain Gate, kimemshangaza zaidi kocha wa timu hiyo, Fredy Felix ‘Minziro’.