Fei Toto milionea… Simba, Yanga zapishana na mabegi ya fedha
VITA mpya kwa Simba na Yanga ni namna zinavyopambana kuonyeshana jeuri ya fedha, kumshawishi kiungo wa Azam Feisal Salum ‘Fei toto’, zikimtengea mamilioni ya kufuru kwa ofa tofauti, pia ipo klabu...