Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Miriam Ismail na JB full kujiachia

MARIAM Pict

Muktasari:

  • Akizungumza na Mwanaspoti, Miriam anayefanya vizuri kwenye tamthilia mbalimbali Bongo, amesema JB anamchukulia kama kaka yake hivyo anapomuona sehemu yoyote ile lazima ajiachie na kufurahi.

MWIGIZAJIi wa Bongo Movies, Mariam Ismail amefunguka kuwa, kila anapopata nafasi ya kukutana na muigizaji mwenzake, Jacob Steven ‘ JB’ anapata amani ya moyo kwani ni mtu wanayeelewana sana.

Akizungumza na Mwanaspoti, Miriam anayefanya vizuri kwenye tamthilia mbalimbali Bongo, amesema JB anamchukulia kama kaka yake hivyo anapomuona sehemu yoyote ile lazima ajiachie na kufurahi.

“Mtu akitukuta na JB, anaweza akashangaa sana lakini ni mtu ninayeelewana naye sana hata kama nina kitu changu rohoni nakimwaga kwake, pia hata kwa upande wa kuigiza kwangu JB ana mchango mkubwa sana kwangu hadi kufika hapa,” alisema Miriam.

Aidha, Mwanaspoti ilishawahi kuongea na JB kuhusu msanii gani wa kike anayemkubali kwasasa, alimtaja Miriam Ismail na kusema huwa akipewa nafasi yeyote ya kucheza anaitendea haki, na kingine alisema Miriam ni mvumilivu sio mtu wa kukata tamaa kwenye utafutaji wa malengo anayojiwekea.